Jinsi ya Kufikia Mafunzo Kuhusu Kukuza Biashara
Boresha maarifa yako ya ujasiriamali wakati wowote, mahali popote, kupitia masomo yetu ya video na maudhui yaliyo hapa chini. Jisajili kwa mafunzo ya moja kwa moja, ya vikundi mtandaoni, yanayofunzwa na mmoja wa wataalam wetu wa kibiashara. Angalia mafunzo tunayotoa kwenye kalenda iliyo hapa chini, inayoangazia mada mbalimbali kama vile upangaji wa biashara, utangazaji, shughuli za kibiashara, usimamizi wa fedha, uagizaji/usafirishaji nje, na zaidi.
Sogeza chini ili uone nyenzo za lugha yako unazoweza kupakua.